FURSA

JIUNGE NA FURSA KUBWA YA KIMATAIFA

ITAKAYOBADILISHA MAISHA YAKO

FANYA MAAMUZI LEO BADO HUJACHELEWA

Je unakipato Duni na unahitaji kipato cha ziada kwa muda wa ziada au ukiwa kazini?

Karibu katika biashara ya kimataifa itakayokungezea kipato, kwa muda mfupi.
Biashara hii imesaidia wengi katika kuwainua kimaisha .
Inahitaji mtaji mdogo lakini matokeo makubwa .
Haibagui mtu, yeyote yule anafanya, Mama wa nyumbani
Mwanachuo
Mwajiriwa
mstaafu
wafanyabiashara,
Dada wa kazi na wengine wote
Karibu nitakushika mkono mpaka utakapofanikiwa ili uweze kusaidia wengine

ZIPI FAIDA ZA KUJIUNGA NA FURSA HII

FAIDA ZA KUWA KWENYE BIASHARA HII NI NYINGI(KAMA WAKALA AU MTUMIAJI

NI NYINGI NA ZIMEGAWANYIKA KATIKA MAKUNDI YAFWATAYO

1.FAIDA YA MAUZO YA REJAREJA KUTOKANA NA BIDHAA UTAKAZOUZA.

AMBAZO NI BIDHAA ZA LISHE BORA(SUPPLEMENTS)ZINAZOTENGENEZWA KWA VIAMBATO ASILI

> ZINAONDOA CHANGAMOTO ZOTE ZA KIAFYA NA KUIMARISHA KINGA YA MWILI. 

2 .FAIDA YA PILI NI BONANSI YA MANUNUZI YA BIDHAA AMBAPO KAMPUNI INAKUPA GAWIO LA FAIDA KUANZIA 3℅ MPAKA 25℅ ZINAINGIA KWENYE AKAUNTI YAKO

UTAPATA COMMISSION YA KUJENGA ORGANIZATION YAKO 

> INCENTIVE NA BONANSI MBALIMBALI KULINGANA NA POSITION YAKO NA TIMU YAKO

3.SAFARI ZA KIMATAIFA ZA NDANI NA NNJE YA NCHI UKIWA UMELIPIWA KILAKITU. 

4. KUPATA SAPOTI KUBWA YA MAFUNZO ONLINE NA ANA KWA ANA.NA KUPATA USIMAMIZI WAKARIBU KILAHATUA

5.KUJENGA MARAFIKI WENYE MTAZAMO CHANYA, INAKUPA UWEEZO WA KUPANUA ZAIDI UELEWA NA KUKUZA MIND SET. 

5.KUTAMBIKA (RECOGNITION) WAKATI WOTE UNAPOFANYA KITU KWA FAIDA YAKO

.

JE UNATAMANI KUJIUNGA NA FURSA HII?

TAZAMA SHUHUDA ZA VIONGOZI WALIOFANIKIWA KUINGIZA KIASI KIKUBWA CHA FEDHA NDANI YA KAMPUNI HII ,WEWE NAWE UNAWEZA CHUKUA HATUA LEO

BADO HUJACHELWA JIUNGE LEO NA FURSA HII

KUBWA BONYEZA BATANI HAPO CHINI ILIYOANDIKWA NIUNGE ,KUJIUNGA NA FURSA HII



PIA TUPO NA BIDHAA BORA ZA NGOZI YAKO TAZAMA UFANISI WA BIDHAA HIZI

1. Hutengenezwa kwa viambato asilia*

- Haina kemikali kali — haina parabens, sulfates wala dyes.

- Hufaa kwa ngozi nyeti (sensitive skin).

2. Inasaidia kuondoa uchafu na mafuta

- Husafisha ngozi kwa ufanisi bila kuivuruga.

- Huondoa mafuta, jasho na vumbi bila kukausha ngozi.

3. Hufanya ngozi kuwa laini na yenye unyevunyevu

- Ina glycerin ya asili huiacha ngozi ikiwa laini na yenye afya.

4. Harufu yake ni nzuri na ya kudumu

- Harufu yake hupatikana kwa kutumia essential oils siyo harufu za kemikali.

5. Inafaa kwa matumizi ya kila siku

- Kwa mwili mzima: uso, mikono, na mwili wote.

6. Inasaidia watu wenye chunusi au miwasho

- Kwa sababu ni safi na haina kemikali, huimarisha ngozi yenye matatizo kama chunusi.

FAIDA YA SABUNI KWA USAFI WA NYUMBANI

1. Kusafisha Sink za Jikoni & Chooni*

- Huondoa mafuta, madoa na uchafu kwa haraka.

- Huua bakteria na harufu mbaya ni salama kwa mazingira ya jikoni.

- Huvunja mafuta yaliyoganda bila kuharibu uso wa sink.

2. Kusafisha Masofa & Samani

- Hutengeneza povu jingi linaloondoa madoa kwa urahisi.

- Hufanya masofa yatoa harufu nzuri baada ya kusafishwa.

- Haichoshi mikono sabuni ni laini na haitoi madhara kwa ngozi.

3. Kufua Nguo

- Huondoa madoa ya mafuta, jasho, na damu kwa ufanisi.

- Haitumiwi kwa wingi povu lake ni jingi na hudumu.

- Hufaa hata kwa nguo nyeti kama nguo za watoto