LIMA NA SUPER GRO (@KILIMOBORA76)

VUNA MARA MBILI ZAIDI UKIWA NA MBOLEA BORA KABISA YA SUPER GRO

IJUE MBOLEA YA SUPER GRO

Mbolea hii ni Kirutubisho bora asilia cha Mimea kisicho na kemikali ,Imetengenezwa kwa magome ya miti na kinyesi cha ndege,mbolea hii inasaidia uimarishaji wa mazao yako katika hali ya majira yoyote pia huongeza uzalishaji wa mazao kwa ubora wa hali ya juu, kwa kilimo chochote. Kirutubisho hichi ni asilia kina sifa kutoka kwa wakulima wote duniani ambacho kitaongeza mazao yako zaidi ya mara tatu ya unayoweza kupata kutoka kwa mbolea zingine za kemikali.

FAIDA ZA SUPER GRO

  • Inaongeza wingi wa mazao(Utavuna mara 2-3 ya ulicho kuwa unavuna mwanzo)

  • Inaongeza ubora wa mazao hivyo utapata mazao yenye (ukubwa mzuri,uzito,ladha na rangi nzuri)

  • Inaongeza unyevuunyevu shambani

  • Inakuza mimea kwa haraka

  • Itakupunguzia gharama za pembejeo

  • Mbolea hii pekee inatosha kwa kila lita 1 utachanganya na 1cc ya mbolea

  • Inarudisha rutuba asilia iliyopotea kwa kutumia mbolea za chumvichumvi



TAZAMA UFANISI WA MBOLEA HIIπŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

UNATUMIAJE MBOLEA HII?

Kwa kila Lita 1 ya maji utachanganya na mbolea 1cc

Yaani kama pampu yako ina ujazo wa Lita 16 utachanganya na mbolea 16cc , kama ina Lita 20 utachanganya na mbolea 20cc

INATUMIKA MSIMU GANI?

INATUMIKA MISIMU YOTE

1.KIANGAZI (UTAPIGA MARA MOJA BAADA YA SIKU SABA

2.MASIKA ,UTAPIGA MARA MOJA BAADA YA SIKU 14

INAPATIKANA KWA GHARAMA GANI?

LEO NAKUPATIA PUNGUZO KUBWA KWA TSH 180,000 ,UTAJIPATIA LITA TANO YA MBOLEA YETU DUMU LA LITA MOJA UTAPATA KWA 50,000

TUNAPATIKANA WAPI?

Tupo Dar es salaam Mbolea hii utaipata popote pale ulipo ,tunafanya delivery mikoa yote Tanzania

wasiliana nasi leo tukuhudumie

WEKA ODA YAKO LEO DUMU LA LITA

TANO UTALIPATA KWA GHARAMA YA 180,000/=

LITA MOJA 50,000

BONYEZA BATANI YA WEKA ODA

KUAGIZA MBOLEA HII πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

MUDA UNAKARIBIA KUISHA WEKA ODA

YAKO MAPEMA HAPO JUU

NAFASI ZA UWAKALA WA MBOLEA HII

ZINAPATIKANA ,UNAWEZA KUWA WAKALA NA KUJIINGIZIA KIPATO KIZURI ,NAKUKARIBISHA KUJIUNGA NA UWAKALA WA MBOLEA HII ASILIA

BONYEZA BATANI HAPO CHINI KUJIUNGA

πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

WASILIANA NASI

+255683917575

FAITHVICTORY KIVEA